Uongozi wa Kliniki ya Kibingwa ya macho ya Eyenova (Eyenova Specialized Clinic) unatoa Zawadi Kabambe ya Mwaka Mpya kwa kutoa Offer ya Uchunguzi wa BURE wa macho na Ushauri wa kumuona daktari bingwa wa macho. Offer hii ipo kwa wiki mbili tu kuanzia Tarehe 1 -15 January, 2024.
Tunapatikana Kimweri Avenue, Msasani Dar es Salaam. Karibu tukuhudumie ili upate matokeo mazuri katika macho na uono wako.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea Tovuti yetu www.eyenova.co.tz au Instagram: eyenova2023
Pleasure to hear from you
We will provide more contents